Rais William Ruto na Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta hii leo walipata jukwaa lingine la kuwa pamoja tangu uchaguzi mkuu wakati huu kwenye mkutano wa kujadili juhudi za kurejesha amani upande wa mashariki mwa DRC, mkutano ulioandaliwa hapa jijini Nairobi. Rais William Ruto alitumia fursa hiyo kumshukuru Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta kwa juhudi ambazo amekuwa akiziongoza kurejesha amani nchini DRC.
Hi Mr president William Ruto Dr and our bro DP president thank God bless all over of the world amen
Ruto is not just called But The Chosen One
Wakora nyinyi
🙏🙏🙏🙏🙏👍
i miss uhurus voice for aure
Someone said uhuru was young to retire. Is he still around!!!
Now is the time they realize we wher together all the way since 2013.
God 🙏
Munene forever 💪
Now we know the difference between the two! Uhuru is man made. Ruto is God chosen!
Uhuruto back in town
Blessed are the peace makers for they shall be called sons of God....hongera mr president uhuru, we love you
Uhuru did well he will always be remembered as peace loving.
Rais mstaafu anastahiki kuwa balozi wa amani baada ya kufadhili mpito wa amani Kenya,heko.Lakini mwenzake,Mheshiniwa Raila ndo anapanga maadamano ya kuhujumu amani!
Your arresting those police thanks boss look around you and arrest corruption and magaidii
Uhuru has agreed if don't beat him join him...😁😁😁😁😁😁
Raila akiona hii anaskia Ku......
Waaau mungu awarudishie Ile upendo walikuwa nayo
True, i miss you Uhuru. Thank for the unity.
Wonderful